machweo.blogspot.com
MACHWEO: December 2008
http://machweo.blogspot.com/2008_12_01_archive.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Saturday, December 27, 2008. Najua tumefanya mengi katika mwaka huu unaoeleka kumalizika. Ni jukumu la kila mmoja kutengeneza mipango kwa ajili ya 2009. Ninajiandaa kuiboresha zaidi blog hii.
machweo.blogspot.com
MACHWEO: June 2009
http://machweo.blogspot.com/2009_06_01_archive.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Tuesday, June 23, 2009. Jaribu kuangalia upande wa mbele wa Admn blog block, inapendeza. Wednesday, June 17, 2009. JENGO HILI NDIMO TUNATEGEMEA WABUNGE WATUWAKILISHE KIKAMILIFU. Thursday, June 04, 2009.
machweo.blogspot.com
MACHWEO
http://machweo.blogspot.com/2010/10/tujiandae-na-uchaguzi-mkuu-kura-yako.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Saturday, October 23, 2010. Tujiandae na Uchaguzi MKUU. Kura yako ndiyo kila kitu katika kuleta maendeleo, hivyo piga KURA kwa busara na acha woga kwani AMANI BILA HAKI ni kama jua bila mawingu.
machweo.blogspot.com
MACHWEO
http://machweo.blogspot.com/2010/08/picha-za-uzinduzi-wa-kampeni-ya-chadema.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Sunday, August 29, 2010. Picha Za Uzinduzi wa Kampeni ya Chadema. Chadema Wazindua Kampeni Zao Jangwani Leo. Mgombea Urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa akimtambulisha...
machweo.blogspot.com
MACHWEO: April 2010
http://machweo.blogspot.com/2010_04_01_archive.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Friday, April 02, 2010. Labels: Mambo ya Pasaka. Subscribe to: Posts (Atom). Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere. Student at The Mwalimu Nyerere Memorial Academy. View my complete profile.
machweo.blogspot.com
MACHWEO: December 2009
http://machweo.blogspot.com/2009_12_01_archive.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Wednesday, December 30, 2009. HERI YA KRIMASI WASOMAJI WA MACHWEO. Inawezekana salam hizi zikaja zikiwa ziechelewa, pamoja na hayo bado ni nia yangu kuwatakia heri ya Krismasi kwa mwaka huu wa 2009.
machweo.blogspot.com
MACHWEO
http://machweo.blogspot.com/2010/09/john-mnyika-azindua-kampeni-za-ubunge.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Wednesday, September 01, 2010. JOHN MNYIKA AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE CHADEMA UBUNGO. Mpendazoe naye alikuwawepo kumnadi Mnyika kwa wananchi wa Ubungo Jumapili katika ufunguzi wa kampeni Kimara Suca.
machweo.blogspot.com
MACHWEO
http://machweo.blogspot.com/2010/09/tendwa-kutoa-maamuzi-pingamizi-la.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Wednesday, September 01, 2010. TENDWA KUTOA MAAMUZI PINGAMIZI LA CHADEMA BAADA YA SIKU TANO! Na Mary Kweka –Maelezo. Vya Siasa Nchini John Tendwa. Bwana Tendwa ameyasema hayo wakati akizungumza. Pingamizi h...
machweo.blogspot.com
MACHWEO
http://machweo.blogspot.com/2010/08/kundi-la-wanaume-lililojiengua-kutoka.html
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi. Friday, August 27, 2010. Tumeamua kuja na mambo mapya baada ya kimya kidoogo kwa wapenzi wetu,kama nilivyosema hapo awali albamu ina jumla ya nyimbo kumi,ambazo baadhi yake ni Poa Tu, Mapenzi Matamu, Apple,...